Angel Di Maria (kushoto), Kylian Mbappe aliyebebwa na Neymar aliyezibwa wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Anderlecht kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Constant Vanden Stock mjini Brussel, Ubelgiji. Mbappe alifunga dakika ya tatu, Neymar 66 na Di Maria 88, wakati bao lingine la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Little offence from Blue Jays in another loss to Rays
-
Toronto is 6 1/2 games out of the final AL wild card spot.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment