Mario Mandzukic akifuatwa na Paulo Dybala kupongezwa baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting CP kwenye mchezo wa Kundi D Ligi y Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao lingine la Juve lilifungwa na Miralem Pjanic dakika ya 29, kufuatia Alex Sandro kujifunga dakika ya 12 kuwapatia Sporting bao la kuongoza mapema PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Little offence from Blue Jays in another loss to Rays
-
Toronto is 6 1/2 games out of the final AL wild card spot.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment