• HABARI MPYA

  Sunday, October 01, 2017

  NEYMAR AFUNGA MAWILI, CAVANI, MBAPPE MOJA MOJA PSG YAUA 6-2

  Neymar Junior, Kylian Mbappe na Edinson Cavani wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 6-2 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Bordeaux kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaranda Jumamosi Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Neymar alifunga dakika ya tano na 40 kwa penalti, wakati Cavani alifunga dakika ya 12 na Mbappe dakika ya 58. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Thomas Meunier dakika ya 21 na Julian Draxler dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA MAWILI, CAVANI, MBAPPE MOJA MOJA PSG YAUA 6-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top