Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika dakika za 24 na 64 kwenye ushindi wa 5-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Nou Camp usiku wa jana. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Neymar Junior dakika ya 40, Ivan Rakitic dakika ya 57 na Samuel Umtiti dakika ya 61. Ushindi huo unairudisha kileleni mwa La Liga Barca ikifikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 26, mbele ya Real Madrid yenye pointi 59 za mechi 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chinese scientists build hand-held device to detect early cancer signs from
drop of blood
-
Prototype achieves diagnosis accuracy of up to 95 per cent, researchers say
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment