Roberto Firmino akipiga hesabu za kumtoka Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kumuacha chini beki Shokdran Mustafi wa Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Roberto Firmino dakika ya tisa Sadio Mane dakika ya 40 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei wakati la Arsenal limefungwa na Danny Welbeck dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pogba parts ways with Monaco following termination of contract
-
Former France midfielder Paul Pogba has parted ways with Monaco after the
Ligue 1 club terminated his contract following just one season.
The post Pogba ...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment