Refa akimuhesabia David Haye aliyeketi kulia baada ya ngumi za mpinzani wake, Tony Bellew katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa O2 Arena mjini London. Bellew alishinda kwa Technical Knockout (KO) raundi ya 11 na Haye aliyeumia mguu mwanzoni mwa pambano jambo lililomsababishia kipigo kikali jana, alikimbizwa hospitali baada ya pambano hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL joint-practice descends into mayhem as multiple brawls break out
between Saints and Cowboys stars
-
A series of brawls between the New Orleans Saints and the Dallas Cowboys at
a joint practice led to both coaches condemning their own team's actions.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment