• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 01, 2015

  MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 3-2 ENGLAND, FELLAINI ATUPIA MOJA

  Nick Powell wa Manchester United akiwatoka wachezaji wa Liverpool katika mechi ya U-21 jana Uwanja wa Old Traffoed. Man United imeshinda 3-2 mabao yake yakifungwa na Marouane Fellaini, Andreas Pereira na Sergio Romero, wakati ya Liverpool yamefungwa na Jose Enrique na Jordan Rossiter PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 3-2 ENGLAND, FELLAINI ATUPIA MOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top