SURA ZINAZOWASILISHA UJUMBE KUELEKEA MECHI YA MARUDIANO YANGA NA ETOILE
Mashabiki wa Yanga SC wakiwa 'hoi' Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana baada ya timu yao kusawazishiwa bao katika sare ya 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hizo zitarudiana wiki mbili zijazo nchini Tunisia na mshindi wa jumla ataingia kwenye kapu la kuwania kucheza hatua ya makundi kwa kucheza na moja ya timu zitakazotolewa katika Ligi ya Mabingwa.
0 comments:
Post a Comment