• HABARI MPYA

  Thursday, June 09, 2022

  BINGWA LIGI KUU KOMBE JIPYA NA SH MILIONI 600


  WADHAMINI wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, benki ya NBC wametaja zawadi watakayotoa kwa bingwa wa msimu huu, ambayo ni Sh. Milioni 100.
  Maana yake bingwa wa Ligi Kuu msimu huu ataondoka na Sh. Milioni 600 jumla pamoja na Sh. Milioni 500 za haki ya matangazo ya Televisheni kutoka Azam Media Limited.
  Pamoja na hayo, NBC wameonyesha Kombe jipya la ubingwa wa Ligi Kuu litakaloanza kutolewa msimu huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BINGWA LIGI KUU KOMBE JIPYA NA SH MILIONI 600 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top