Mashabiki wa Etoile du Sahel ya Tunisia waliosafiri hadi Dar es Salaam kuja kuisapoti timu yao wakiwasha mishumaa kushangilia baada ya timu yao hiyo kusawazisha bao katika sare ya 1-1 na wenyeji, Yanga SC mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shiriksiho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment