Wachezaji wa Liverpool, Raheem Sterling na Jordon Ibe wakivuta shisha. Hii ni mara ya pili ndani ya wiki moja kwa Sterling, kulia kupigwa picha akiwa anavuta shisha.
Wachezaji vijana wadogo wanahatarisha vipaji vyao kwa kuvuta shisha
Sterling anaonekana 'amepandiaha stimu' baada ya kuvuta shisha akishushia na soda aina ya Fanta
0 comments:
Post a Comment