NIYONZMA APATA MAPACHA KUELEKEA YANGA NA ETOILE KESHO
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwa amewashika kwa furaha watoto wake mapacha baada ya mkewe kujifungua mchana wa leo mjini Dar es Salaam. Kiungo huyo wa Rwanda kesho anatarajiwa kuiongoza klabu yake, Yanga SC katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment