Mshambuliaji wa zamani wa Aston Villa, Stan Collymore alishindwa kuzuia hisia zake baada ya Christian Benteke kufunga bao la pili katika sare ya 3-3 na QPR jana Uwanja wa Villa Park. Collymore alikuwa ameketi eneo la Waandishi wa Habari kwenye Uwanja huo, ambao wanaonekana wakiendelea na kazi zao kila mmoja kwa mujibu wa majukumu wake. Waandishi wa Habari wa Tanzania wangependa pia kufanya kazi katika mazingira kama haya, lakini bahati mbaya, si Shirikisho la Soka (TFF), wala Wizara ya Habari iliyoona umuhimu huo tayari. Waandishi wa Tanzania huchanganywa na mashabiki eti waripoti mechi. Ufanisi utatoka wapi hapo?
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment