Mshambuliaji wa Aston Villa, Christian Benteke akifumua shuti kuifungia timu yake mbele ya Rob Green katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Villa Park. Timu hizo zimetoka sare ya 3-3, Benteke akifunga mabao yote ya Villa dakika za 10, 33 na 83, wakati mabao ya QPR yalifungwa na Matt Phillips dakika ya saba 7, Clint Hill dakika ya 55 na Charlie Austin dakika ya 78.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3029369/Aston-Villa-3-3-QPR-Christian-Benteke-slams-hat-trick-pulsating-draw-strugglers-fight-Premier-League-survival.html#ixzz3WgOvBzBE


.png)
0 comments:
Post a Comment