• HABARI MPYA

    Tuesday, April 07, 2015

    ACHANA NA MSUVA, HUYU DOGO NI NOMA AISEE!

    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka kiungo wa timu hiyo, Hassan Dilunga katika mazoezi ya jana jioni Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Yanga inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ACHANA NA MSUVA, HUYU DOGO NI NOMA AISEE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top