• HABARI MPYA

    Tuesday, April 07, 2015

    YONDAN ALIPOMDHIHIRISHIA TAMBWE KAMA YEYE 'BEKI KWELI'

    Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan (kushoto) akipambana na mshambuliaji Amisi Tambwe katika mazoezi ya timu hiyo jana jioni Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
    Yondan alifanikiwa kuupokonya mpira miguuni mwa Tambwe na kuambaa nao. Lilikuwa tukio moja la kusisimua
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YONDAN ALIPOMDHIHIRISHIA TAMBWE KAMA YEYE 'BEKI KWELI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top