LIVERPOOL imepata sare ambayo unaweza kusema wamebebwa. Wekundu hao wametoka 2-2 na Lecester City Uwanja wa Anfield, lakini refa
Mike Jones amewapa penalty zmbili za katika katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England, Nahodha Steven Gerrard alifunga mikwaju yote ya penalti ya Wekundu hao dakika ya 17 na 40.
Lakini David Nugent akaifungia Leicester dakika ya 58 na Jeffrey Schlupp akasawazisha dakika ya 60.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa; Mignolet, Can, Toure, Sakho, Henderson, Gerrard, Lucas/Markovic dk72, Moreno, Coutinho/Lambert dk85, Lallana/Borini 55, Sterling.
Leicester City; Hamer, Simpson, Wasilewski, Morgan, De Laet, Schlupp, Drinkwater/Nugent, dk36, James, Hammond/Cambiasso dk66, Mahrez, Vardy/Ulloa dk74.
Wachezaji wa Leicester City wakimlalamikia refa baada ya kuwapa penalti ya utata Liverpool
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2893371/Liverpool-2-2-Leicester-City-Steven-Gerrard-nets-two-controversial-penalties-Foxes-net-twice-two-minutes-embarrass-Reds.html#ixzz3Nb2Izlls
0 comments:
Post a Comment