• HABARI MPYA

  Wednesday, January 07, 2015

  AZAM FC NA MTENDE KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo (kushoto) akimtoka mchezaji wa Mtende katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ilishinda 1-0.
  Kiungo wa Azam FC, Kevin Friday akimtoka mchezaji wa Mtende
  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwania mpira dhidi ya beki wa Mtende
  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Mtende
  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimtoka beki wa Mtende
  Kiungo wa Azam FC akimuacha chini mchezaji wa Mtende baada ya kumlamba chenga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MTENDE KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top