KIIZA 'LIVE BILA CHENGA' AKIJITIA KITANZI JANGWANI
IMEWEKWA AGOSTI 3, 2013 SAA 4: 59 USIKU
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza kulia akisaini Mkataba wa kuendelea kuichezea Yanga SC kwa miaka miwili zaidi. Anayemshuhudia kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Mussa Katabaro.