• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2023

  CHELSEA YAIBAMIZA LEEDS UNITED 1-0 STAMFORD BRIDGE


  BAO pekee la beki Mfaransa, Wesley Tidjan Fofana dakika ya 53 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London leo.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 34 nafasi ya 10, wakati Leeds United inabaki na pointi zake 22 nafasi ya 17 baada ya wote kucheza mechi 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIBAMIZA LEEDS UNITED 1-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top