• HABARI MPYA

  Tuesday, June 28, 2022

  KOCHA MKUU MPYA WA SIMBA NI MSERBIA ZORAN


  KLABU ya Simba imemtambulisha rasmi Mserbia, Zoran Manojlovic kuwa kocha wake mpya Mkuu, akichukua nafasi ya Mspaniola, Pablo Franco Martin aliyefukuzwa mapema mwezi huu.
  “Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu yetu,” imesema taarifa ya Simba SC leo.
  WASIFU WA ZORAN MANOJLOVIC
  Kuzaliwa 21 July 1962 (age 59)[1]
  KLABU ALIZOFUNDISHA
  Klabu ya sasa Simba (Kocha Mkuu)
  KLABU ZA AWALI 
  Mwaka Timu
  2017–2019Primeiro de Agosto (Angola)
  2019–2020Wydad AC (Morocco $
  2020–2021Al-Hilal (Sudán)
  2021CR Belouizdad (Algeria)
  2021Al-Tai (Saudi Arabia)
  2022–Simba SC (Tanzania)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MKUU MPYA WA SIMBA NI MSERBIA ZORAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top