• HABARI MPYA

    Saturday, June 11, 2022

    YANGA YASHINDA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KIGAMBONI


    VIGOGO, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki Ijumaa Uwanja wa Avic Town, Somangira nje kidogo ya Jijila Dar es Salaam.
    Mabao ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Chrispin Ngushi na Dickson Ambundo katika mchezo huo wa kirafiki kujiandaa na mechi zilizosalia za Ligi Kuu ya Tanzania Bara.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA YASHINDA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top