• HABARI MPYA

  Sunday, June 19, 2022

  KAGERA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA DODOMA JIJI KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar jana walilazimshwa sare ya 1-1 na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bata Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
  Waziri Junior alianz akuifungia Dodoma Jiji dakika ya 60, kabla ya Abeid Athumani kuisawazishia Kagera Sugar kwa penalti dakika ya 83.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA DODOMA JIJI KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top