UCHAGUZI Mkuu wa klabu ya Yanga utafanyika Julai 10, mwaka huu Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, Wakili Malangwe Mchungahela amesema kwamba Matawi yote yanatakiwa kuwa yamekamilisha chaguzi zake ndani ya wiki mbili.
0 comments:
Post a Comment