• HABARI MPYA

  Wednesday, June 01, 2022

  KILIMANJARO QUEENS TAYARI KUIVAA SUDAN KUSINI KESHO JINJA


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens wakiwa mazoezini leo Jinja nchini Uganda kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa CECAFA Challenge dhidi ya Sudan Sudan kesho baada ya kuwasili mapema leo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS TAYARI KUIVAA SUDAN KUSINI KESHO JINJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top