• HABARI MPYA

  Thursday, June 30, 2022

  ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA


  REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya Coastal Union ya Tanga na Yanga ya Dar es Salaam Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top