• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2022

  MSHAMBULIAJI AZAM FC AFIWA NA BABA MZAZI ZAMBIA


  MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Mzambia Rodgers Kola amefiwa na baba yake mzazi, Damiano Kola Senior nchini kwao, Zambia.
  Taarifa ya Azam FC imesema; "Kwa niaba ya Bodi, viongozi, wafanyakazi na mashabiki wa Azam FC, kwa masikitiko makubwa tunapenda kutuma salamu za rambirambi kwa familia ya mshambuliaji wetu, Rodgers Kola baada ya kufiwa na baba yake mzazi, Damiano Kola Senior.l,".
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI AZAM FC AFIWA NA BABA MZAZI ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top