• HABARI MPYA

  Friday, June 03, 2022

  RAIS MWINYI AZINDUA MRADI WA UJENZI WA UWANJA MKUBWA WA MICHEZO ZANZIBAR


  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kisasa wa michezo eneo la Fumba, visiwani humo.
  Mradi huo utakuwa na viwanja vikubwa vya michezo ikiwemo uwanja wenye hadhi ya Olimpiki, uwanja mkubwa wa kandanda, kriket na hoteli kubwa ya kisasa na unasimamiwa na kampuni ya JHIL ya India.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MWINYI AZINDUA MRADI WA UJENZI WA UWANJA MKUBWA WA MICHEZO ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top