Mwanzo > YANGA > YANGA SC WAKABIDHIWA KOMBE LAO SOKOINE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA YANGA YANGA SC WAKABIDHIWA KOMBE LAO SOKOINE WACHEZAJI wa Yanga SC wakifuaria na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia kukabidhiwa jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya baada ya mchezo dhidi ya wenyeji, Mbeya City uliomalizika kwa sare ya 1-1. Saturday, June 25, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA YANGA
0 comments:
Post a Comment