• HABARI MPYA

  Wednesday, June 22, 2022

  DIRISHA LA USAJILI BARA KUFUNGULIWA JULAI MOSI


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa taarifa rasmi leo kwamba dirisha la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa kimashindano nchini litafunguliwa Julai 1, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIRISHA LA USAJILI BARA KUFUNGULIWA JULAI MOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top