• HABARI MPYA

  Tuesday, June 28, 2022

  WACHEZAJI AZAM FC WAPANDISHA BENDERA YAO MLIMA KILIMANJARO

  KIKOSI cha Azam FC juzi kilipanda Mlima Kilimanjaro na kupandisha bendera yake kwenye kilele cha Mlima huo ikiwa ni ishara ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii wa nchi, kupitia ziara yake ya Royal Tour.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI AZAM FC WAPANDISHA BENDERA YAO MLIMA KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top