• HABARI MPYA

  Tuesday, June 14, 2022

  SIMBA SC YAMPELEKA MSANIFU KUKAGUA ENEO KA UJENZI WA UWANJA


  MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez akiongozana na Msanifu Majengo kutembelea eneo la klabu hiyo liliopo Bunju Jijini Dar es Salaam kukagua mipaka na eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Bodi ya Wakurugenzi kukutana ili kupitisha mkandarasi atakayejenga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMPELEKA MSANIFU KUKAGUA ENEO KA UJENZI WA UWANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top