• HABARI MPYA

  Friday, June 10, 2022

  LIGI YA VIJANA U20 YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO DAR


  LIGI Kuu ya Vijana Tanzania Bara chini ya umri wa miaka 20 inatarajiwa kuanza leo Jijini Dar es Salaam kwa mechi mbili kupigwa viwanja tofauti; African Sports ya Tanga na Yanga Saa 9:30 Alasiri na JKT Tanzania na JKM Park Saa 11:30 jioni Uwanja wa JMK Park.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA VIJANA U20 YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top