• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2022

  KILIMANJARO QUEENS YAFUNGWA 2-1 NA ETHIOPIA


  TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imechapwa mabao 2-1 na Ethiopia katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya CECAFA Challenge Wanawake mchana wa leo Uwanja wa FTC Njeru mjini Kampala, Uganda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS YAFUNGWA 2-1 NA ETHIOPIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top