// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU BUNGENI DODOMA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU BUNGENI DODOMA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Thursday, June 16, 2022

  TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU BUNGENI DODOMA LEO


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Walemavu, Tembo Worriors baada ya kukaribishwa Bungeni Jijini Dodoma leo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson kwa ajili ya kupongezwa baada ya Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Uturuki mwezi Oktoba.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU BUNGENI DODOMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top