• HABARI MPYA

  Wednesday, June 29, 2022

  MBOMBO APIGA HATI-TRICK AZAM YAFUZU KOMBE LA SHIRIKISHO


  TIMU ya Azam FC imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Biashara United leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Ilikuwa siku nzuri kwa mshambuliaji Mkongo, Idris Mbombo aliyefunga mabao matatu, huku bao lingine likifungwa na Never Tigere.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBOMBO APIGA HATI-TRICK AZAM YAFUZU KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top