• HABARI MPYA

  Friday, June 03, 2022

  MESSI ALIPOISAIDIA ARGENTINA KUTWAA TAJI WEMBLEY


  NAHODHA Lionel Messi akiwa ameshika Kombe la Finalissima akifurahia na wachezaji wenzake baada ya kuwafunga mabingwa wa Ulaya, Italia mabao 3-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley Jijini London, England.
  Mabao ya mabingwa hao wa Amerika Kusini yamefungwa na Lautaro Martinez, Angel Di Maria na Paulo Dybala, michuano hiyo ikirejea tena baada ya kufanyika mara ya mwisho mwaka 1993.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIPOISAIDIA ARGENTINA KUTWAA TAJI WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top