Mwanzo > SIMBA > SIMBA SC YAMALIZA LIGI KWA SARE SONGEA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA SIMBA SC YAMALIZA LIGI KWA SARE SONGEA MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa mwisho wa msimu leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma. Wednesday, June 29, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA
0 comments:
Post a Comment