• HABARI MPYA

  Monday, June 20, 2022

  COASTAL UNION YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 ILULU

  TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.
  Bao pekee la Coastal Union limefungwa na Mbaraka Hamza kwa penalti dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo, Wagosi wa Kaya wanafikisha pointi 37 na kusogea nafasi ya sita, wakati Namungo inabaki na pointi zake 37 pia nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 28.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 ILULU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top