• HABARI MPYA

  Monday, June 06, 2022

  TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2022


  TIMU za Morocco, Nigeria na Tanzania ndiyo zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Wasichana U17 baadaye mwaka huu nchini India.
  Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Oktoba 11 hadi 30, mwaka huu nchini India.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top