Mwanzo > YANGA > MATOKEO YA MCHUJO WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA MATOKEO YA MCHUJO WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya mchujo wa awali kuelekea uchaguzi utakaofanyika Julai 10, mwaka huu Jijini Dar es Salaam. Saturday, June 11, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment