• HABARI MPYA

  Tuesday, June 07, 2022

  YANGA YAICHAPA FRIENDS RANGERS 8-0 MECHI YA KIRAFIKI


  KLABU ya Yanga leo imeibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Friends Rangers ya Manzese katika mchezo wa kirafki kambini kwao, viwanja vya Avic Town, Somangira, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Yanga leo yamefungwa na Fiston Mayele, Denis Nkane mawili, Heritier Makambo mawili pia na Yusuph Athumani matatu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAICHAPA FRIENDS RANGERS 8-0 MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top