// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BENKI YA NBC YAIPA SH MILIONI 50 SINGIDA STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BENKI YA NBC YAIPA SH MILIONI 50 SINGIDA STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2022

  BENKI YA NBC YAIPA SH MILIONI 50 SINGIDA STARS  WADHAMIMI wakuu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, benki ya NBC wameipa msaada wa fedha Sh. Milioni 50 timu ya Singida Big Stars ya Singida.
  Singida ikiwa inatumia jina la DTB katika Championship msimu huu, imefanikiwa kupanda Ligi Kuu msimu ujao kabla ya kubadili jina mwezi uliopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENKI YA NBC YAIPA SH MILIONI 50 SINGIDA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top