Mwanzo > YANGA > SIMBA WAANZA KUIBURUZA YANGA NANI ZAIDI AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA YANGA SIMBA WAANZA KUIBURUZA YANGA NANI ZAIDI WAPENZI wa klabu ya Simba wameanza kwa kishindo kampeni ya Nani Zaidi dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC.Ndani ya saa 24 tangu kuzinduliwa kwa shindano la NaniZaidi, Simba SC imeongoza kwa kura dhidi ya Yanga SC kama inavyoonekana pichani. Friday, June 03, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA YANGA
0 comments:
Post a Comment