• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2022

  MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA


  MWENYEKITI wa Yanga, Dk Mbette Mshindo Msolla atagombea Urais wa klabu dhidi ya wanachama wengine wawili waliojitokeza hadi sasa.
  Hao ni Hersi Ally Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, washirika wakuu wa Yanga na Said Baraka Kambi katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Julai 10, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top