• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2022

  KILIMANJARO QUEENS YANG’ARA, ZANZIBAR QUEENS YAADHIBIWA


  TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imeanza vyema michuano ya CECAFA Challenge Womens 2022 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Sudan Kusini leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.
  Mabao ya Kilimanjaro Queens yamefungwa na Amina Bilal dakika ya 38 na Diana Lucas dakika ya 90 na ushei.
  Mechi iliyotangulia leo, Zanzibar Queens wamechapwa mabao 5-0 na Ethiopia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS YANG’ARA, ZANZIBAR QUEENS YAADHIBIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top