• HABARI MPYA

  Wednesday, June 22, 2022

  YANGA SC KUKABIDHIWA KOMBE LAO MBEYA JUMAMOSI


  SHEREHE rasmi za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara zitafanyika Jumamosi ya Juni 25 ambako watakabidhiwa Kombe lao baada ya mchezo na wenyeji, Mbeya City Uwanja wa Sokoine.
  Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara amesema mapema siku inayofuata, yaani Jumapili ya Juni 26 kikosi kitarejea Dar es Salaam na kupokewa na umati wa mashabiki na wapenzi wa timu hiyo huku wachezaji wakibebwa kwenye basi maalum la wazi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUKABIDHIWA KOMBE LAO MBEYA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top