• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2022

  SHINDANO LA KUZICHANGIA SIMBA NA YANGA LAZINDULIWA LEO DAR


  SHINDANO maalum la mashabiki wa Simba na Yanga kupigia kura klabu zao, Ipi Zaidi likezinduliwa leo Jijini Dar es Salaam.
  AzamTv ndiyo itakayoendesha shindano hilo na kila kura moja itapigwa kwa gharama yake Sh. 1,000 na fedha hizo zitaingia kwenye mfuko wa maendeleo ya klabu itakayopigiwa kura.
  AzamTv wamesema kila siku katika kipindi Mshike Mshike Viwanjami watakuwa wanatoa taarifa za maendeleo ya zoezi la kura ili kujua klabu ipi inaongoza.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHINDANO LA KUZICHANGIA SIMBA NA YANGA LAZINDULIWA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top