• HABARI MPYA

  Wednesday, June 01, 2022

  LIGI YA VIJANA U20 SIMBA, YANGA, AZAM MAKUNDI TOFAUTI


  DROO ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 imechezeshwa leo studio za AzamTv, Tabata Jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar wameoangwa Kundi B pamoja na Dodoma Jiji, Mbeya Kwanza na Ruvu Shooting.
  Kundi A linaundwa na Simba, Polisi Tanzania, Biashara United na Namungo FC, wakati Kundi C kuna Azam FC, Mbeya City, Coastal Union na Tanzania Prisons na Kundi D wapo washindi wa pili wa msimu uliopita, Yanga, Geita Gold, KMC na Kagera Sugar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA VIJANA U20 SIMBA, YANGA, AZAM MAKUNDI TOFAUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top