• HABARI MPYA

  Sunday, June 19, 2022

  MATOKEO YA USAILI WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC


  KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya awali ya Usaili kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo Julai 10, mwaka huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATOKEO YA USAILI WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top